Simba wa nyumbani
Member
- Apr 22, 2018
- 20
- 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaz ingne wameachia mahindiWaolewaji wanataka hela siyo [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaz ingne wameachia mahindiWaolewaji wanataka hela siyo [emoji23][emoji23]
Kabla ya 1987 akiitwa Betty Chalamila akiwa Kaptain wa timu ya taifa ya Netball, kabla hajakutana na kufungs ndoa na kaptain wa timu ya taifa ya soka Charles Boniface "Master"Mimi night Betty mkwasa
Siku tukimsikia David Wakati akisoma taarifa ya habari ya saa 2 usiku lazima ujue kuna tukio kubwa nchiniEnzi hizo walitangaza kwa kuongozwa na taaluma zao
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jambo mkaka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakisema jf tutumie majna halsi basi mm ntaomba kuramba Banning ili niende salama niendako