Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeingia hoteli fulani ilikuwa na board poa ina-advertise nyama choma. My brother vile nyama imechorwa hapo nje ni tofauti na ile iko hoteli... [emoji19][emoji19][emoji19] saa hii nanunua nyama yangu kwa butchery mi sipendi ujinga
 
KAMA kuna kitu ambacho straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane anakiomba kwa sasa basi huu msimu umalizike haraka asubiri msimu ujao baada ya kuibuka kuwa kituko kwenye mitandao ya kijamii.
 
Tangu fowadi huyo alipokata rufaa kutaka apewe bao ambalo awali lilionekana kufungwa na Christian Eriksen kwenye mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Stoke City ili kujiongezea mabao ya kumfukuzia Mohamed Salah kwenye vita ya Kiatu cha Dhahabu, amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
 
Baada ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la FA kati ya Spurs na Manchester United iliyofanyika Wembley Jumamosi, FA ilituma ujumbe kwenye ukurasa wao wa Twitter, ambao ulikuwa kijembe cha moja kwa moja kwa straika Kane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…