myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Umri ni namba tu jirani..Jirani wewe unaonaje?
Mbaba wa 40+anapaswa kuoa mwanamke wa umri gani?
Sio wote bwanaWaolewe na below 30 wenzao au <40. Nikiwa 40 below 30 sioi ng'o! Ni kujitafutia matatizo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andjul shwaiiini zake huko aliko (in Andjul's voice). Katuharibia huyu binti hivi hivi tunaona aisee....
ShiroThis time
Kwema kaka, habari yako ndugu yangu?Habari yako bro?
Nilikuremember sana mkuu
Exception: Ukiwa na hela hata uwe na miaka 100 waweza oa mwali wa miaka 15 haijalishi kama unavunja sheria ama la! Wanasheria watakesha wakitafuta vipengele kinzani vya sheria husika na kusaka precedence hata kama ni ya kutoka Papua New Guinea....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila zuma kaona kabinti ka 24 na yeye ako na 76,kazi kwako
Jizazi. Hii lugha hii siyo ya mtu Mgumu hii. Hata kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi unafundisha tabia mbaya! Huku kwema bhana, nipo! Mi nimekumisimo mpaka naumwa! [emoji1][emoji1]
Itabidi tufunge tumwombee upako umrudie...Huyu Binti alikuwa wa kutolea mfano, lakini siku hizi kila siku anaamka na akili za usiku! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Lisemwalo lipo bro,,Hakuna mhusika. JF si ajabu waliombwa kistaarabu tu kuzima mitambo yao mpaka 2604 ipite na si ajabu na mkwanja wamevuta. Tunachezeana akili tu na hizi stori za eti attacks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bondia gani yuko soft hivi? Did he train for the fight au anakwenda tu kubahatisha?
Sawaa rafiki[emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwenda zako kuleeeee!
Kwema bro. Uliandamana? Au umeandamania moyoni (kama vile tulivyo na raisi wa mioyo)?Lisemwalo lipo bro,,
Kwema lakini?
Kwema kasmartShiro