Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole mahondawSeriously wapendwa naombeni namba zenu hata feki tu ila iwe online tuweze kuchitchat kwingine huko incase ... Sio kwa kuteseka kule. hakii mazoea yana tabu [emoji30] nikasikia eti yawezekana isiwepo tena jaman nilitoaje mimacho [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Cc Smart911
[emoji23][emoji23][emoji23]nimetumwa hela chalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimesikia sauti yenye lafudhi yakichaga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Nilichungulia tu nikaona hakuna mtu nikarudi ndani kuchemsha tangawizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Naipenda cover yake wameimba boycii avenue na mdada gani sijui yule nikiisikia hii ya sam sijui naonaje.Loving can heal, loving can mend your soul
And it's the only thing that I know
I swear it will get easier, remember that with every piece of ya
And it's the only thing to take with us when we die.
Acha tu mamiii,, muulize Smart911 akwambie nilivoteseka jana.. Mpaka nikaanza kumuuliza hana twunamba twa members?? [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole mahondaw
Jf ni kilevi hatari sana.
Nikikumbuka niliyopitia jana sina hamu
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji2][emoji2][emoji2]njoo nikupe tiba basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we ni kiboko kwakweli.Acha tu mamiii,, muulize Smart911 akwambie nilivoteseka jana.. Mpaka nikaanza kumuuliza hana twunamba twa members?? [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Anaumwa huyo[emoji23][emoji23][emoji23]acha aje nimpe tiba apone[emoji134][emoji134][emoji134]
Raia wa kawaida hawajajitokeza mkuu waliandamana maaskari peke yao tu labda na lile sanamu la posta tu...Huku tupo mkuu,hali imetulia kabsa, tupo tunapambana,vp huko zilizomake headline siku ya leo, yale mambo vp watu wamejitokeza