Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kawaida ya wanasiasa kutanga tanga. Tumbo halina adabu ati !!!
Unategemea tumbo liwe na adabu kwa mchumia tumbo?Ni kawaida ya wanasiasa kutanga tanga. Tumbo halina adabu ati !!!
Davet kalale[emoji2][emoji2]03:20
Amenikumbusha enzi zile za Oil chafu vs Oil chafu kiboko ya mchwa. Mianasiasa. Haiaminiki hata siku moja !!!Jipokee mwenyewe
Hahah!! Poa mkuu ila umeniacha njia panda au kwenye mataa tena ya ChatoHapana mkuu. Iishie hapa hapa na sitairudia tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nasubiria kauli yako hii. Haki ya nani sasa nimekuelewa vyema. Ningeshangaa sana kama ungeiona hii halafu usiseme hivyo. Nami nasali kila siku upate lijibaba lishamba kabisa kabisa la Kikoromije likuchochee sawasawa likudodeshe ulipende halafu likuwowe kabisa uende ukahangaike na ushamba wa lenyewe laivu kabisa tena deile. Malipo ni hapa hapa duniani dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]Bila shaka huyu atakuwa ni mkoromije
Cc:wakoromije wote
AsanteCarb umeamka eeh? Karibu tupo
Nikweli mkuu tumbo linaweza kukufanya ufanye mambo ya ajabuNi kawaida ya wanasiasa kutanga tanga. Tumbo halina adabu ati !!!
Hahah!! Ugomvi wa visu huo mimi simoBila shaka huyu atakuwa ni mkoromije
Cc:wakoromije wote
Halafu ukute jamaa ni Mwakaleli laivu sijui atasemaje [emoji36][emoji36][emoji36]Hahah!! Ugomvi wa visu huo mimi simo
Hahah!! Ngoja kidogoo nitaenda tuDavet kalale[emoji2][emoji2]
Wamekukatia?Davet kalale[emoji2][emoji2]
Ndio maana wakaita mchezo mchafuAmenikumbusha enzi zile za Oil chafu vs Oil chafu kiboko ya mchwa. Mianasiasa. Haiaminiki hata siku moja !!!
Umeota nini?Asante
Sisi tutamuangalia tu makovu hatutakiHalafu ukute jamaa ni Mwakaleli laivu sijui atasemaje [emoji36][emoji36][emoji36]
Nilikuwa nasubiria kauli yako hii. Haki ya nani sasa nimekuelewa vyema. Ningeshangaa sana kama ungeiona hii halafu usiseme hivyo. Nami nasali kila siku upate lijibaba lishamba kabisa kabisa la Kikoromije likuchochee sawasawa likudodeshe ulipende halafu likuwowe kabisa uende ukahangaike na ushamba wa lenyewe laivu kabisa tena deile. Malipo ni hapa hapa duniani dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
Kicheko cha usiku huu wa manane bila shaka kina uzito zaidi. Ningekuwa hapo karibu bila shaka nisingekosa "kibakhshishi" hata kama ni kaskrinishoti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mimi nalisubiri hilo libaba lishamba la kikoromije nilinyooshe na ushamba wake hadi linyooke,liache ushamba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akii umenichekesha ujue