Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aaaaa wapi. Wengine mbona ilibidi tukubali picha ya vidole vya kwenye samaki. Hapa hakuna cha kujitetea hapa...@Numbisa njoo davet anakataa picha yake huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaogopa nini mchina??Vidole vipana nyie si wakuonesha vidole,
Siku tukikutana mikono yangu nitaiweka mifukoni muda wote.
Ai agirii[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mchina on a moveeeee....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mie sina hizo muziitazo nguvu za kiume, tuwe marafiki tu, pia twaweza kujifunika shuka moja bila wasiwasi wowote.
HahahahaaaaHata mimi niliweka picha ya samaki hapa basi nikabebeshwa umiliki wa mikono. Hata ujitetee vipi haitasaidia. We kakate tu hizo kucha basi hakuna jingine
Ilikupa picha gani?Naikumbuka ndio,minene ilikuwa na vidole vipana[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naomba ile picha ya sato[emoji23][emoji23]Hata mimi niliweka picha ya samaki hapa basi nikabebeshwa umiliki wa mikono. Hata ujitetee vipi haitasaidia. We kakate tu hizo kucha basi hakuna jingine
[emoji21][emoji21][emoji23][emoji23][emoji23]hongera bhana
MmhhKucha aina hii haziunguzwi na chakula hata kiwe cha moto vipi.
Hutajinasua hata ufanyeje mkuu. Wewe kubali tu yaishe...Au muite shemeji aje akutetee. Hawa wakikukamata na kitu huwa hawaachiliagi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] leo mtanifanya nitume picha ya kucha zangu sasa ili kujisafisha
Nimeogopa,Unaogopa nini mchina??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaaa wapi. Wengine mbona ilibidi tulikubali picha ya vidole vya kwenye samaki. Hapa hakuna cha kujitetea hapa...
Watasema kuna kitu unazuia wasikione. Na kwa vile umesema huna nguvu za kiume sijui kitakuwa kitu gani sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vidole vipana nyie si wakuonesha vidole,
Siku tukikutana mikono yangu nitaiweka mifukoni muda wote.
Ya samaki sato fresh kabisa toka ziwaniIlikupa picha gani?
[emoji23][emoji23][emoji23] leo kweli ndio nimeingia cha kike mkuu, ila naamini nafasi bado ninayo ya kudhihirishia umma kua kucha sio zanguHata mimi niliweka picha ya samaki hapa basi nikabebeshwa umiliki wa mikono. Hata ujitetee vipi haitasaidia. We kakate tu hizo kucha basi hakuna jingine
Aisee hata sijui iko wapi. Nikienda nilikoitoa naweza kuipata. Ila inawezekana Numbisa anayo aisee...Naomba ile picha ya sato[emoji23][emoji23]
Soon itabidi nifanye hivyo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuma tuhakikushe zile kucha si zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kucha aina hii haziunguzwi na chakula hata kiwe cha moto vipi.
Nikikumbuka picha ya andjul tulivyohangaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hutajinasua hata ufanyeje mkuu. Wewe kubali tu yaishe...Au muite shemeji aje akutetee. Hawa wakikukamata na kitu huwa hawaachiliagi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]