carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Weeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujawahi wekwa brozone eeh?Hahaha hata kupewa ubrozone ni heshima tosha pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]au mpenda mashereheMama mkwe atakuwa ana miliki mgahawa aiseh,si kwa mivyombo hiyo khaaa
Habari yangu itakuwa salama ukinipa talaka yangu,siwezi olewa mwakaleli nikalale koromije mimi nefaaaa...[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]@ho chi minh na babe S tena!!?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu....
Habari yako shemeji mbiutifulu, wajionaje hali?
Eeeeh, kuchomwa, ikoje hiyo au kama alivyofanyiwa mkuu wa zamani?C. Njia ya upasuaji
Njia hii hupendekezwa kwa watu wafuatao:
Dalili kali ambazo hazisikii dawa.
Mkojo kuziba ghafla.
Maambukizo ya njia ya mkojo ya mara kwa mara.
Damu kwenye mkojo.Figo kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya shida ya tezi dume.
Mawe ya kibofu pamoja na tezi dume iliyopanuka.kuongezeka kwa mkojo unaobaki baada ya kukojoa.
Upasuaji umegawanyika katika aina mbili kukatwa au kuchomwa.
Sawa hiyoNjia za kukatwa
Kuna njia tatu hapa: Kipande cha tezi dume kukatwa, kupasuliwa na tezi dume kutolewa.
Atakuwa hakutaki huyo si bure[emoji23] [emoji23] [emoji23]au mpenda masherehe
Mambo yanajiunda yenyewe bila Mimi Kutia neno.@ho chi minh na babe S tena!!?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu....
Habari yako shemeji mbiutifulu, wajionaje hali?
Vema, hilo nalo nimeelewa ingawa kuna mtu hapa anataka kunikata stim. Kukatwa sehemu /kipande cha tezi dume
Hii ndiyo njia ambayo kwa kawaida hutumiwa na huwa nzuri kuliko dawa.Husaidia wagonjwa wengi, asilimia themanini na tano hadi tisiini. Husaidia kwa muda mrefu. Daktari hukata sehemu iliyoziba kwenye njia ya mkojo.Ngozi haikatwi wala kushonwa, lakini mgonjwa lazima alazwe hospitalini kwa operesheni hii.
Sawa Dada, twendeKabla ya upasuajiNi vizuri kuhakikisha mgonjwa yu katika hali nzuri kimwili.
Uhuru?Hivi Tanzania itapata Uhuru lini maana tumekata kujipa uhuru hapo...... 26
Sijui sisi wa bongo au ni wa ongo
Msamehe bure maana kakosea jukwaaUhuru?
Kweli kabisa,binadamu wote hatuwezi kuwa sawa, eti wote tuwe matajiri na hao wafanyakazi watoke watoke wapi sasaFresh tu,tena nitampongeza.
Haya maisha hutakiwi kujifananisha na yeyote yule.
Kila mtu ana fate yake.Kujifananisha na watu ni kujipa stress zisizo na msingi.
Jikubali na ujiamini katu usijifananishe na mtu yeyote yule.
Nilijua tu. Kwapu kwapu wamekukwapua... Yaani kuonekana kichaka ni kosa?Habari yangu itakuwa salama ukinipa talaka yangu,siwezi olewa mwakaleli nikalale koromije mimi nefaaaa...[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahahaha,uzi likes bana, vicheko vipo, elimu ipo, udaku upo, nk, nk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa embu niache kwanza aisee sitaki kucheka sasa hivi...
Kucha gani hilo sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkwe atakuwa na visa na mimi si bure.
Hahahahaha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mchina umeuaJukwaa la siasa ingekaa vizuri zaidi.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sasa utafanyaje na yy ndo kaamua iwe hvo,inabidi usikilizie tu huko kwenye ubrozone maybe one day unaweza pewa heshima yako na ukagegeda km kawa inahitaji muda tu, mambo mazuri hayataki harakaWeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujawahi wekwa brozone eeh?
Ama hata friendszone??
Yaani mwanamke unamzimikia kwa mizimiko yote,yani unaona hapa ndo moyo umedondoka halafu anaku brozone useme ni heshima tosha wakati kichwani unawaza kumgegeda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee, sawaKabla ya upasuajiNi vizuri kuhakikisha mgonjwa yu katika hali nzuri kimwili.
Dalili kali za kuvimba kwa tezi dume, mkojo kufunga, maambukizi yanayojirudiarudia ya mfumo wa mkojo, na figo kushindwa/kufeli ni dalili zinazohashiria umuhimu wa upasuaji.
Mgonjwa asivute sigara ili kuzuia maambukizo ya kifua ambayo huchelewesha kupona.Mgonjwa anashauriwa asiendelee kutumia dawa zinazofanya damu nyepesi kama vile aspirin,warfavin au clopidogrel.
Sasa unategemea siku zote umenitelekeza hapa bila taarifa karibia mwezi ama miez miwili naishije?Nilijua tu. Kwapu kwapu wamekukwapua... Yaani kuonekana kichaka ni kosa?
Haya,aliye kukwapua ni nani? Au huyu huyu wa nani hii? Ana nani hii pale? Maana huyo ndo simuamini shilingi!!!!