Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ZINGATIA:


Hati ya kiapo ya kuzaliwa ya muombaji inatakiwa iapwe na:
*Mzazi au mlezi wa kisheria;

*Mtu aliyeshuhudia kuzaliwa kwa muombaji wa pasipoti na ambaye anamzidi muombaji si chini ya miaka 5;

*Ndugu wa karibu wa muombaji ambaye alitaarifiwa kuzaliwa kwa muombaji na wazazi wake
 
Mpare akija hapa ataua mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…