Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona wakimbia?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila shem unapenda mahali wewe[emoji23][emoji23]
Kumbushia na ile ya mwakaleli basi,maana last time alikuletea ng'ombe hizi[emoji243][emoji243][emoji233][emoji233][emoji233]na ulizikataa
Jana alimuita Nsamaka tukazungumza wote watatu. Nadhani alibakiza kama watatu hivi na kama sikosei alikubali kuwa atamalizia tu ili mambo yaishe tu muvu fowadi...
 
Unaenda *"The Kilimanjaro Hyatt Hotel"* unaona menu imeandikwa:

"Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole."

Price: TZS 46,500/=

Unaagiza!

Ukiletewa ndio unagundua kwamba ni makande [emoji15][emoji779]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji779]

Halafu ukikumbuka Kibaigwa gunia la mahindi la kilo 100 ni sh 40,000/=
The world is not fare[emoji15][emoji779][emoji23][emoji23][emoji779]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…