Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkemia Mkuu wa Serikali amesema ni crude oil, lakini wenzetu wa TRA (Mamlaka ya Mapato) wamekataa wamesema si crude oil. Zile meli zimekaa bandarini zaidi ya wiki mbili sasa, meli moja ina tani 30,000, meli nyingine tani 32,000,” alisema.

“Katika hali kama hii hivi kuna mawasiliano gani kati ya TBS na TRA kuhakiki mizigo ambayo nyinyi wenyewe mmeikagua? Nyinyi (TBS) mnasema mzigo huu ni crude oil, lakini TRA wanasema ni semi refined (yaliyosafishwa kidogo) sasa hapa nchi tunaipeleka wapi?”
 
Murad alisema kwa sasa mafuta ya kula nchini yameanza kupanda bei kwa sababu yale ghafi yaliyokuwapo yameanza kutumiwa na hivyo viwanda havitakuwa na malighafi.

“Lakini Bunge limepitisha sheria kuwa crude oil itatozwa kodi asilimia 10 na semi refine itatozwa asilimia 25. Sasa TBS anasema hii ni crude oil lakini TRA anasema ni semi refine. Bahati nzuri Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, upo naomba ulichukue,” alisisitiza.
 
Amen
 
Pia, alimtaka naibu waziri kukaa na wajumbe wa kamati hiyo kuzungumzia jambo hilo kwa kina kwa sababu wao ndio wana wajibu wa kuishauri na kusimamia Serikali katika eneo hilo.

Awali, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TBS, Tumaini Mtitu alisema shirika hilo linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwamo upungufu wa vifaa vya kupimia bidhaa, ufinyu wa nafasi za maabara na ofisi pamoja na upungufu wa watumishi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskin kitoo carbaaa hiii koment msiione bana maana hizi sifa hatupewag akina sie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti mpole baadae nina neno na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…