Ngoja niingie ndani zaidi nilikuwa sijui broNi kweli mkuu. Single people die early kuliko wenye wenza. Karibu duniani kote. Sad !!!
Na safari hii tuwe ngangari kabisa. Hata Numbisa, Carba na Pyaar waseme nini tunagangamara kabisa kabisa hakuna kulegeza kamba. Na safari hii tukape KaYego uenyekiti. Kenyewe kidogo kako ngangari kuliko sisi. Itasaidia sana bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mi pia naona umuhimu wa kuirudisha CHACHAWA na misingi yake
Pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na safari hii tuwe ngangari kabisa. Hata Numbisa, carbamazepine na Pyaar waseme nini tunagangamara kabisa kabisa hakuna kulegeza kamba. Na safari hii tukape Yegomasika uenyekiti. Kenyewe kidogo kako ngangari kuliko sisi. Itasaidia sana
Kwema....shikamoo BroLe Supa Wumani ana matatizo apsteazi nadhani...Kwema?
Kazi ipo....Mbunge wa Rombo, (Chadema) Joseph Selasini ameomba mwongozo bungeni akilalamika kuwa viti vya bungeni ni vibovu.
Ameyasema hayo leo Aprili 30, bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu na kuhoji ni lini serikali itakarabati viti hivyo.
“Lini Serikali itakarabati viti hivi, hiki nilichokalia leo asubuhi kimenifinya makalio.” Amesema Selasini.
YeeeeeeeeeeeeessssssssssKwema....shikamoo Bro