[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ka binti kameamua kusema ukweli bila kupepesa macho shimba anakaonea tu
Abeeeeeeeeeh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanipigaga makofi ya ukwel jaman
Safi.Jibu ni jibu tu, sinaga sharia za ajabu ajabu.
Anaza wani.Asante..
Sijui nikuchane ukweli aah acha tu nibakize rafik mmoja,poti bana hata picha ya samaki hautuonyeshagi mie nahisi hizo nyavu unatupa kwa binadam sio samak bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa... Alasiri njema! Ngoja nikatupe nyavu zangu ziwani sasa! [emoji124][emoji124][emoji124]
Lugha ni mfumo tata dhahnia razini (language is a complex abstract intelligent system) ambao unazingatia mambo mengi sana katika utendakazi wake yakiwemo misingi ya kisementiki (kimaana), kimatamshi (Fonetikia) na hata sababu za kijamii, kitamaduni na kihistoria. Hata kama ruwaza (patterns) zingeruhusu bado mwanauke isingekubalika kwa sababu kisemantiki (kimaana) ina ukakasi kwa jamii lugha inayohusika. Hata mwanaume ingekuwa mwanauume (ili kuleta upatano wa kisemantiki na mwanauke), bado isingekubalika pia.Oooh! Asante.. Maana mara nyingi tumekuwa tukitumia mwanaume, sasa nikawa nafikiri hata kwa mwanamke twaweza tumia mwanauke.