Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mashabiki wa Liverpool walivamia mitandao ya Jamii kuonyesha kutofurahishwa kwao na shabiki mmoja aliandika katika mtandao wa Twitter akisema “Hiyo ni Kadi nyekundu ya nne kwa Keita msimu huu. Nina wasiwasi na jambo hilo.”
 
Mwingine aliongeza kwa kusema “Naby Keita ni mjinga. Kadi nyingine nyekundu katika dakika za mwisho za mchezo.” Shabiki mwingine wa tatu aliandika “Naby Keita anapenda kadi nyekundu au sio?”
 
Mashabiki wa Liverpool wamekuwa wakimsubiri kiungo huyo ambaye sifa zake zimekuwa nyingi licha ya kutumuona na wanaamini kwamba atakuwa injini nyingine Anfield baada ya kufanya vema akiwa nchini Ujerumani huku kikosi chao kikiendelea kuimarika msimu huu.
 
Na utakuta si ajabu uvuvi wake anafanyia hapa hapa kwenye uzi wetu pendwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri bro
Deep sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…