MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Yatapita tu,Hahahahhaha! Ndo kwanza mwanzo...
Mwambie anyamaze, afute machozi na asonge mbele...Asikate tamaa..
Madaktari ni watu mhimu sana ktk jamii
Kila mtu kwenye taaluma yake ni muhimu...Na waalimu ndiyo nambari wani kwa sababu wao ndiyo chanzo mama !!!Madaktari ni watu mhimu sana ktk jamii
Hapo ndo uzuri wa ngozi nyeusi ulipo
Uko sahihiKila mtu kwenye taaluma yake ni muhimu...Na waalimu ndiyo nambari wani kwq sababu wao ndiyo chanzo mama !!!
Mkuu umezungumza jambo mhimu sana,Yatapita tu,
Akishindwa kabisa basi arudi tu kijijini kama sisi afanye kilimo, sema shida ni kwamba vijana wanataka Daslamu.
Kuajiriwa serikalini kuna changamoto zake kubwa sana...kijijini kugumu lakini kuna raha zake ukizoea.
HahahahaHahahaha, ila binafsi nahisi MJ yuko juu ya hawa watu.
Usinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mimi nina TECNO Mchina nao wenyewe nilipewa.
πππππππ
Kweli mkuu usiwajali we shusha vitu tu.Waache ujinga wao. Wanajifungia kuangalia video za akina BeyoncΓ© na Rihanna halafu wanajifanya eti wanalinda maadili. Hivi Tanzania kuna maadili? Yalianza lini? Na hiyo picha ina tatizo lipi?
Aisee huyu Binadamu ni mzuri sana....Basi tu, Mungu anajua!
Byulfu
Astakhafir sheikh, nimefungua huu uzi mbele ya Mh mmoja.
Dah,
Nyeupe
Usinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umezungumza jambo mhimu sana,
Ni kweli Vijana wengi kwa sasa hawataki kazi ngumu ingawa wanahitaji maisha ya juu,
Hawapendi tena vijijini hata kama wazazi wao wako vijijini.
Hawajui vijijini kuwa ni sehemu nzuri sana ya kuanzia kimaisha,
Wanatakiwa waelewe kuwa ajira ni chache mno ukilinganisha na jinsi vyuo vinavyozalisha wahitimu kila mwaka.