[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Punguzeni umbea[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] natanga na njia ee natanga na njia natafuta ubuyu lakini wamenibaniaaa shidaa juu ya shidaaaa mambooo juu ya mambooo huku na huko nahangaika kusuntwa mbeeaaa eeee kunyimwa ubuyu eeee lakini likes zipoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Punguzeni umbea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Punguzeni umbea
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Punguzeni umbea
ha ha mkuu unajua wanawake huwa wanaangalia na aina ya mwanaume wakikuona unajipenda na unathamini maisha yako anajua huyu ndo mtu sahihi na ata ukiingia kwenye mahusiano naye hataleta mambo ya kijinga lakin kosea ujifany unathamini maisha yake kuliko wewe utaumia sana.Hongera bro....Ungezubaa angekuvunjua self confidence yako. Na watu hawe wenye dharau mara nyingi mambo yao huwa hayawaendei vyema. Usije ukashangaa huko mbele ya safari mkigongana akakuomba upashe kiporo [emoji16][emoji16][emoji36]
Alichokiongelea kanye ni kitu kidogo kwa kukiangalia juu juu ila kwa ndan ni kikubwa na kirefu mno walisalitiana wao kwa wao na masultan,watemi,wafalme walikua maajent wa kukamata na kuuza watumwa,hao waafrika waliopo america wametokea huku so chimbuko linaanzia slavey mode of production kama sio feudalismHapa unaongelea choice, they chose him. let the consequences accordingly. Talking abt those men unwillingly, forced to .. wamesalitiwa. Haiwezi kua chaguo lao kua slaves. PERIOD!
mh maneno tata mpaka raha.[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] natanga na njia ee natanga na njia natafuta ubuyu lakini wamenibaniaaa shidaa juu ya shidaaaa mambooo juu ya mambooo huku na huko nahangaika kusuntwa mbeeaaa eeee kunyimwa ubuyu eeee lakini likes zipoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leta basi hata lyrics watu tuburudike jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nyiee
Nipo mkuu. Likes kama kawaida...Bro shimba ya buyense nakupa vilivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leta basi hata lyrics watu tuburudike jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nyiee
No you are wrong. Kama upo in America, then its by choice na hii si tafsiri ya Kanye. He is wrong, you are wrong.Upo...
Umebadilika kidogo tu ila weusi bado wanahenya japo hawana minyororo. Ni sawasawa na sisi tunavyoendelea kuhenya japo wakoloni hawapo.
Ntaleta mdada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leta basi hata lyrics watu tuburudike jaman
tatizo lilikuwa viongozi walichezeana karata kama ilivyo leo kongo vita vya kila siku viongozi wanaelewa kinachoendelea nyuma ya pazia.Alichokiongelea kanye ni kitu kidogo kwa kukiangalia juu juu ila kwa ndan ni kikubwa na kirefu mno walisalitiana wao kwa wao na masultan,watemi,wafalme walikua maajent wa kukamata na kuuza watumwa,hao waafrika waliopo america wametokea huku so chimbuko linaanzia slavey mode of production kama sio feudalism