Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dah! Kibanga ampiga mkoloni, yaani ulikuwa ukisoma stori za vitabu vile enzi hizo unakuwa kama waangalia movie, siku hizi watoto wanasoma wanashindwa hata kujenga taswira ya kitu..
 
Dah! Kibanga ampiga mkoloni, yaani ulikuwa ukisoma stori za vitabu vile enzi hizo unakuwa kama waangalia movie, siku hizi watoto wanasoma wanashindwa hata kujenga taswira ya kitu..
Zamani nakumbuka tulikuwa tunasimuliana hadithi hadithi, nipeni mji. Siku hizi madogo wanashinda sebuleni wanaangalia Ben Ten au Jack and Josh Nickelodeon. Hahahaha mimi nawaangaliaga nawaacha tu, unakuta hata habari huwezi angalia ukitaka kuangalia wanaanza kulia basi unawaacha. Hahahahaha dah!
 
Nakumbuka ile hadithi ya Fikiri/ Sadiki na Chitemo nilikuwa nikiisoma yaani kama namcheki laivu Chitemo akiacha jembe na kutorokea kusikojulikana, pale samaki (sato) katengwa mezani mie nakahisi kama sipo darasani tena, mawazo yamehama kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…