Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kenya kuna muziki mzuri sana, wasanii wake uwezo wao ni mkubwa lakini sijui nini kimewakuta....!
Sana,nahisi kuna sehemu wamekosea maana hata vijana wapya wanaochipukia kwa sasa bado pia wapo vizuri sana, wanaproduction kali, videos hata lugha pia, lkn kwa sasa wao wenyewe wanakili kukunwa na artist wanaotoka hapa bongo,
 
Huyu jamaa alikuwa Balozi wa Israel nchini Kenya, akaamua kukaa huko Baada ya kumaliza mda anaimba sana sana! Sasa huyo Wendy Kimani msikilize anavyoimba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…