Unakuja kigoma?[emoji593][emoji593][emoji593]
[emoji23][emoji23] unajua kupika sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndhapika Davet
Keki eti hapa naiwaza tu[emoji23] [emoji23]Hiyo ni keki au mito?
[emoji579][emoji579][emoji579] sio kesi hapo nafikaUnakuja kigoma?
Aisee ipo vizur sana mimi ukinipa hiyo siili naiweka kwenye masofa kama mitoKeki eti hapa naiwaza tu[emoji23] [emoji23]
Nimejikausha weee nimeshindwa hahahahaha acha basi kutuaibishaaa sasa huo unga utauwekaje kwenye kochi aaahhhAisee ipo vizur sana mimi ukinipa hiyo siili naiweka kwenye masofa kama mito
Hapana, wameedit sijui wamepachika tu hayo manenoWamehack?