Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Raha ya Dafu ulipandie juu ati[emoji3] [emoji3] [emoji3]
FB_IMG_1525504844268.jpg
 
Nakuelewa ila watch very close. Utumwa unaozungumziwa hapa ni upi? Tukichanganya hapo hatutaelewana. Am sure hakukusudia utamwa kichumi ama mental kama madai yako. Ndo maana nasema kama alimaanisha mental slavery, economical alipaswa ku-clear misunderstandings sababu anajua watu wame mind. Me pia nimemind
Idea ya mental slavery ina apply kwenye kila sehemu. Japo nakubali Kanye ali articulate very poorly hii ishu na ukizingatia alisha jihusisha na Trump aaah watu wasinge mwacha.
Marcys Garvey alizungumzia sana hili
 
Back
Top Bottom