Hahah!! Sawa lesisterHakuna kitu Davet[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hapo mnakuwa mmetamani tu mumchungulie, anakuwa hajapendwa mtu...Mnakuta mambo yapo tofauti na matarajio yenuHuwa inatokea
Nilichelewa sana kunywa chai alafu chai haikua kibamiaUmeshiba nini? [emoji23]
Hahahahaa!Aisee unapeleka hisia zangu mbali sana [emoji23][emoji23]
Usiku wote minalala nikuwaza nakuita jina lako oooh Tuma [emoji445][emoji445]
Catherine // Elena Gilbert. I like her this way.Nina[emoji254]
Ndiyo unachowaza mkuu.... [emoji17]
Hahah! Sitaki kubisha inaezekana kweli tumeshindwa tofautisha kupenda na kutamani.....Hapo mnakuwa mmetamani tu mumchungulie, anakuwa hajapendwa mtu...Mnakuta mambo yapo tofauti na matarajio yenu
[emoji23][emoji23]Hahahahaa!