goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
ila maini natia mipilipili kibaooo akija mgeni tunamwambia karibu ila hapendi pilipili anaishia kusema asnte nimeshiba kumbe ana njaa....Asantee ink[emoji4]
Watu wanapenda haya maneno lakini wao hawapo hivyo. [emoji23] [emoji23] be OG... Bhana [emoji23] [emoji23] [emoji95] [emoji379]
Mkuu unazungumzia ishu ganiHahah! Sitaki kubisha inaezekana kweli tumeshindwa tofautisha kupenda na kutamani.....
Pia huwa kuna ile unawish kua na mtu unapiga soundi akikubali tu basi hamu nae inakata kabisa unatamani kupiga chini au unamuanzishia visa...
Ndiyo unachowaza mkuu.... [emoji17]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haya rafikiNilichelewa sana kunywa chai alafu chai haikua kibamia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uchoyo huoo inkila maini natia mipilipili kibaooo akija mgeni tunamwambia karibu ila hapendi pilipili anaishia kusema asnte nimeshiba kumbe ana njaa....
Kuna wengine kavu wanakula hivyo hivyo.... [emoji23] [emoji23]
Hii apa mkuu [emoji115][emoji115]
Mkuu unazungumzia ishu gani
Sijapata likes zako leo nakudaiPatamu hapa.....
Kwenye thread we ndo main characterHii apa mkuu [emoji115][emoji115]