Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu bibi naye atapiga hela kama Mchungaji mstaafu Mwasapile
Organic chemistry paper 1.Hongera! Umefanya mtihani wa somo gani leo?
Safi sana !!!*HABARI NJEMA KWA WANA UBUNGO DSM*
*UBUNGO MIONGONI MWA HALMASHAURI BORA 17 TANZANIA*
Hayo yamesemwa Leo na *Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Selikali za Mitaa,Mh.Suleiman Jaffo* akitoa Neno la Shukrani Baada ya Meya na Mkurugenzi Ubungo pamoja na Halmashauri zingine kusaini Makubaliano ya Kupokea Fedha kutoka Wizara ya Fedha Mjini Dodoma.
Ambapo *Halmashauri Ya Manispaa ya Ubungo Leo Imepokea Kiasi cha Tsh Billioni 1 kutoka Wizara ya fedha*.Na Kuwa Miongoni Mwa *Halmashauri 17* zilizofanya Vizuri na Kufanikiwa kupitishiwa fedha hizo kwa kukidhi Vigezo baada ya Ushindani wa kuandaa *ANDIKO LA MRADI* kwa kuzingatia fursa za Halmashauri,ambapo Halamshauri zote 185 zilishindanishwa.
*Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Imeandika Mradi Ufufuaji wa Mradi mkakati wa Soko Kubwa la Kisasa katika Soko la Mburahati,Ambapo Ujenzi huo wa Mradi ukipatiwa fedha utasababisha Manispaa ya Ubungo kujitegemea kujiendesha bila kutegemea ruzukuvya serikali kuu ifikapo 2025.pamoja na kuwa Chanzo kikuu cha Mapato na Ajira kwa Watu wa Manispaa ya Ubungo.*
Pichani ni Meya Boniface Jacob na Mkurugenzi wakisaini Mkataba wa makubaliano na Katibu Mkuu wizara ya fedha *Ndugu Dotto James* juu ya kupokea fedha na kuanza Mradi huo kati ya Manispaa na Wizara ya fedha.
*IMETOLEWA* Na
*OFISI YA MSTAHIKI MEYA*
*Manispaa ya Ubungo*
05-May-2018
Ndundu ndundu.... mi nagongea tu beat.Kijiito cha utakaso ni.....(sijui nini hapo) huuoshwa humo
Namsifu bwana kwa hilo nimepata utakaso [emoji445][emoji445]
5 to 7![]()
Pretty Woman I watched this movie more than 20 times and I still love it to this date.
KinooHusein Pamba kali