Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nakuelewa broKwema bro?
Tupo na makamanda katika uzi wetu pendwa. Uzi shirikishi huu bro. Sote tu dugu moya...
Huku Kwema ashukuriwe Mungu
Nakuelewa broKwema bro?
Tupo na makamanda katika uzi wetu pendwa. Uzi shirikishi huu bro. Sote tu dugu moya...
Halafu tumemmiss sana Mzee wa kuliamsha dude hivi hakuna wa kumchoza now days Jumapili zinakuwa bored kweli [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]nasubiri ya Gwajima, JPM na Mwigulu nashangaa sizioni
Hahahahaha maliziaHahahaha! Acha kabisa,
Kipindi ndo zinaingia sokoni (nahisi ilikuwa 2013)..Nitaendelea baadaye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua na like bila kuangalia ID sasahiv imebidi niangalie kwanza.
Messi againThe Golden Boot Race:
Messi - 33 goals and 3 games left.
Salah - 31 goals and 1 games left.
Immobile - 29 goals and 2 games left.(injured)
Let's talk about sexHabari za makinikia zinachosha
Hii kweliMwafrika na asili zetu kubadilika ngumu sana
Kuna wengine hadi wanafariki familia zao hawafahamu chochote kuhusu kazi zao,waden wao,kampun walizokua wanaziendesha na kanuni zake au siri za kampuni hizo mwisho wa siku familia inateseka kwa kutokua na ushahidi wala kibali cha umiliki kampun hizo
[emoji102] nitafanya mtihani kweli kwa picha hii....
Mhhhh hiyo kofia
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! hii kitu yanikumbusha shule (O'level) mtu akifulia anaanza kulamba blueband+ peanut butter...
Akiendelea nitag[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naisubiria baadae
AminaTubarikiwe sote[emoji120] [emoji120]
HahahahahaKofia kama ya "Baba Mtakatifu" [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna wengine hawa like back. [emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwann mkuu
Naam mkuuKamanda !!!