Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23], mbombo ngafu
Siku hizi tunalinda sana watoto wa kiume kuliko wa kike.
Juzi wakaja wageni mpwa wangu wa miaka 6 akaambiwa alale na wale ndugu chumbani kwake, aisee ilibidi niwabebe wote na kulala nao chumbani kwangu. Sitaki mzaha kabisa kwenye hili,.....Dunia imekwisha haki ya nani..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…