Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Refa anamatatizo yule vitu kama vile ni vya kuacha tu watu tushuhudie maajabuDembele aliuwasha sana ila kubwa zaidi ni Mess alivyopiga lile jombo lake kwenye impossible angle likaingia goli japo refa alishapiga filimbi ya kuotea...
Hatari sanaViongozi wa Yanga ni wezi
Ni muda wa kuwatoa
SALAMA. KWAKO JEHabari za Leo wadau wa likes
Uzi huu ni zaidi ya likes Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaa likes tamu jamani acheni maskhara[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani kama wanampango wa kumuondoa dembele watakosea sanaDembele aliuwasha sana ila kubwa zaidi ni Mess alivyopiga lile jombo lake kwenye impossible angle likaingia goli japo refa alishapiga filimbi ya kuotea...