Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuku mzima (makange style) Mahitaji Kuku mzima Kitunguu saumu nusu kijiko Tangawizi nusu kijiko Curry powder nusu kijiko Masala nusu kijiko Limao Nyanya 3 Karoti 1 Kitunguu maji 1 Pilipili hoho nusu Chumvi Mafuta Njia Pasua kuku katikati kisha mpake limao na chumvi na kisha acha nusu saa na kisha mkaange kuku mzima kwy mafuta mpk aive awe rangi ya kahawia Kisha pembeni anza kwa kuweka mafuta kidogo kwy sufuria kisha weka kitunguu maji acha iwe na rangi ya kahawia kisha weka kitunguu saumu tangawizi curry powder na masala na kaanga kisha weka karoti pilipili hoho na endelea kukaanga kisha weka chumvi na ikisha ivaa mweke kuku wako kwy huu mchanganyiko aingii pande zote za kuku na kisha epua Kula na chochote ukipendacho ugali wali chips
 
PILAU YA NYAMA YA KUSAGA MAHITAJI mchele vikombe 2 Nyama ya ngombe ya kusaga 1/4 kilo Njegere kiasi Kitunguu maji 3 Kitunguu saumu kijiko 1 cha chai Tangawizi nusu kijiko Pilau masala kijiko kimoja Curry powder 1/2 kijiko Royco 1/2kijiko Beef masala1/2 kijiko Mafuta ya kupikia na chumvi Kachumbari Kitunguu maji 1 Nyanya 2 Tango nusu Limao 1/2 Pilipili 1 Njia Weka mafuta kiasi jikoni kisha weka vitunguu subiri vianze kubadili rangi kisha weka kitunguu saumu na tangawizi baada ya hapo weka njegere ulizozichemsha pembeni na nyama acha kwa muda kidogo kisha weka viungo wako pilau masala,curry powder,royco,beef masala na chumvi kisha acha viungo viingii vizuri kwy nyama ya kusaga na viive kisha weka mchele wako na ongeza maji ya moto kiasi kulingana na mchele wako funika na acha mpk pilau likaukii kw moto wa wastani Kachumbari Katakata vitunguu osha na chumvi na maji kiasi kuondoa ukali kisha katia nyanya na tango kwa style yote upendayo kisha weka chumvi,pilipili na limao changanya tayari kwa kuweka kwenye pilau letu Kwa wapenzi wa mayonase unaweza ukaongeza
 
DAGAA WA NAZI NA MAZIWA Mahitaji Dagaa wa mwanza robo kilo Kitunguu maji 1 Nyanya 3 Pilipili hoho nusu Karoti 1 Tui la nazi zito 1/2kikombe Maziwa fresh 1/2 kikombe Kitunguu saumu na tangawizi1/4kijiko cha chai Royco 1 kijiko Beef masala 1 kijiko Binzari ya manjano1/4kijiko Mafuta kiasi Chumvi kiasi Njia Chukuwa sufuria weka mafuta subiri yachemke kisha weka kitunguu kaanga kidogo kisha weka vitunguu saumu na tangawizi endelea kukaanga upate rangi ya kahawia kisha weka karoti pilipili hoho na nyanya endelea kukaanga kisha weka dagaa zako na weka maji au tui la pili km umetumia nazi ya kawaida kisha weka dagaa zako Baada ya hapo weka viungo wako royco binzari na beef masala na chumvi na ongeza maji au tui la pili funika acha ive kwa muda ukishaona imeiva weka tui lako na maziwa acha kwa muda kidogo. Epua na tayari kwa kuliwa haswa na ugali Enjoy
 
Nyama ya mbuzi choma (simple) Mahitaji Nyama ya mbuzi kilo moja Kitunguu saumu kijiko kimoja cha chai Tangawizi kijiko kimoja cha chai Limao moja Chumvi Mafuta vijiko viwili Njia Chukua nyama yako weka viungo vyote kitunguu saumu, tangawizi limao,chumvi na mafuta na unahakikisha viungo vyako vinaingia vizuri kwy nyama Kisha weka funika na weka kwy friji kwa masaa 7 au usiku mzima ili viungo vyako viingii vizuri kwy nyama Kisha bake 160°c kwa masaa 2 au unaweza kuchoma kwy jiko la mkaa lenye wavu juu kwa masaa mawili hakikisha moto ni mdogo ili aive vizuri. Tayari kwa kula
 
Numbisa unajua hii ni asubuhi bado
 


Lower center is the "Heading Indicator" which shows your aircraft current compass heading. This instrument should be calibrated (usually every 15 minutes). To calibrate, adjust the instrument to agree with the compass. This is done on the ground or, if in flight, only in straight and level flight.
 
Kuku wa kuchoma Mahitaji Kuku mzima Kitunguu saumu 1 tsp Tangawizi 1 tsp Limao Binzari ya manjano 1/2 tsp Garam masala 1/2 tsp Curry powder 1/2 tsp Chumvi Mafuta vijiko 2 Njia Chukuwa kuku muweke mahitaji yote kitunguu saumu, tangawizi,limao,binzari ya manjano,garam masala,curry powder,chumvi na mafuta na mpake hakikisha anaingia vizuri kwy kuku na kisha muweke kwy friji chini kwa muda wa saa 6 au hata usiku mzima Kisha washa oven 200°c na muweke kuku wako kwa muda wa saa 1 kisha mpasue katika ili kumfungua ili achomeeke vizuri kwa ndani kwa muda wa dk 35 na tayari na hakikisha anapata yangi nzuri ya kahawia. Enjoy unaweza kula na chochote ni mtamu sana
 
Kuku wa kuchoma Mahitaji Kuku mzima Kitunguu saumu 1 tsp Tangawizi 1 tsp Limao Binzari ya manjano 1/2 tsp Garam masala 1/2 tsp Curry powder 1/2 tsp Chumvi Mafuta vijiko 2 Njia Chukuwa kuku muweke mahitaji yote kitunguu saumu, tangawizi,limao,binzari ya manjano,garam masala,curry powder,chumvi na mafuta na mpake hakikisha anaingia vizuri kwy kuku na kisha muweke kwy friji chini kwa muda wa saa 6 au hata usiku mzima Kisha washa oven 200°c na muweke kuku wako kwa muda wa saa 1 kisha mpasue katika ili kumfungua ili achomeeke vizuri kwa ndani kwa muda wa dk 35 na tayari na hakikisha anapata yangi nzuri ya kahawia. Enjoy unaweza kula na chochote ni mtamu sana
 
Kuku wa kuchoma Mahitaji Kuku mzima Kitunguu saumu 1 tsp Tangawizi 1 tsp Limao Binzari ya manjano 1/2 tsp Garam masala 1/2 tsp Curry powder 1/2 tsp Chumvi Mafuta vijiko 2 Njia Chukuwa kuku muweke mahitaji yote kitunguu saumu, tangawizi,limao,binzari ya manjano,garam masala,curry powder,chumvi na mafuta na mpake hakikisha anaingia vizuri kwy kuku na kisha muweke kwy friji chini kwa muda wa saa 6 au hata usiku mzima Kisha washa oven 200°c na muweke kuku wako kwa muda wa saa 1 kisha mpasue katika ili kumfungua ili achomeeke vizuri kwa ndani kwa muda wa dk 35 na tayari na hakikisha anapata yangi nzuri ya kahawia. Enjoy unaweza kula na chochote ni mtamu sana
 
Biryani ya kuku rahisi Mahitaji Mchele Mchele 1/2kilo Karafuu vipande 6 Mdalasini vipande 4 Iliki nzima 4 Chumvi kiasi Maji Kuku Kuku mzima 1 Vitunguu maji 4 Vitunguu saumu 1 tsp Tangawizi 1 tsp Giligilani ya unga 1/2tsp Binzari manjano 2 tsp Pilipili manga 1/2 Maziwa mgando kikombe 1 Limao 1 Nyanya 4 Garam masala 1tsp Mafuta na chumvi Njia Mchele wako loeka km lisaa moja na kisha chukuwa uweke kwy maji na chumvi,iliki,mdalasini na karafuu uchemshe kisha uchuje na weka pembeni Kwy sufuria jingine chukuwa mafuta weka vitunguu vyako acha vipate rangi ya kahawia kisha weka kuku, vitunguu saumu,tangawizi,giligilani ya unga, pilipilimanga,binzari na garam masala na chumvi acha ichemke weka nyanya zako na funika ziive vizuri na mchanganyiko uive kisha weka maziwa yako ya mgando koroga na acha ichemke vizuri na iwe na uzito kisha weka limao Kwy sufuria jingine anza kwa kuweka huu mchanganyiko wa kuku kisha weka wali rudia tena kwa kuweka mchanganyiko wa kuku na malizia wali kwa juu kisha nyunyizia mafuta kidogo palia na mkaa juu na chini au weka kwy moto mdogo kwy gesi uufunike na mfuniko unaobana vizuri. Acha kama dakika 20 epua na uchanganye vizuri na upakuwe tayari kwa kuliwa.
 
POUND CAKE mahitaji Unga wa ngano vikombe 2 Sukari kikombe 1 Siagi kikombe 1 Mayai 5 Vanilla extract 2 tsp Maziwa ya maji vijiko 4 Baking powder 1 1/2 tsp Njia 1. Chukuwa chombo changanya unga wa ngano na baking powder na uchekeche unga wako mara 2 mpk 4 hii inasaidi keki kuwa laini 2.chukuwa siagi kisha weka sukari na anza kusaga kwa kutumia mashine au mwiko mpk ilainike kabisa na anza kuweka yai moja baada ya jingine huku unaendelea kuchanganya mpk umalize yote na mchanganyiko utakuwa laini malizia kwa kuweka vannila na saga ili ichanganyike vizuri 3.kisha chukuwa ule unga wako na changanya na mchanganyiko wako na weka yale maziwa koroga ichanganyike vizuri 4.chukuwa chombo cha kubake paka siagi na unga wa ngano na kisha weka mchanganyiko wako na bake kwy oveni 200°c kwa dakika 45 kisha angalia km tayari kwa kuweka toothpick katika ikitoka safi keki tayari 5.subiri ipoe na tayari kwa kuliwa au unaweza pamba upendavyo
 
MOROCCAN CHICKEN EGGPLANT AND TOMATOES STEW MAHITAJI 3 vijiko vya mafuta ya kupikia kuku 1 mzima wa kisasa Kitunguu maji 1 Biringanya 4 Nyanya kubwa 5 Maji vikombe 2 1/2 Binzari nyembamba tsp 1 Binzari ya manjano tsp 1 Kitunguu saumu tsp 1 Tangawizi tsp1 Paprika 1 tsp Limao 1 Chumvi kiasi Pilipili manga kiasi NJIA Chukuwa sufuria ya kupikia weka mafuta kisha weka kuku wako na koroga huku unamgeuza kuku akauke maji na anze kupata rangi ya kahawia kisha weka vitunguu ,biringanya na nyanya ulizokataka na acha km dakika 5 na baada ya hapo weka vitunguu saumu, tangawizi,paprika,binzari ya manjano na nyembamba ,chumvi na pilipili manga na koroga mpk ichanganyike vizuri. Kisha kamulia limao na weka maji funika na acha mpk kuku aive na maji ya pungue . Epua na tayari kwa kuliwa na chochote utakachopenda kama wali,ugali,viazi,mihogo,mkate nk.
 
SPAGHETTI AND MEATBALLS IN TOMATO SAUCE Mahitaji Pakiti 1 ya spaghetti 1/2 kilo nyama ya kusaga 5 nyanya kubwa 1 tsp kitunguu saumu 1 tsp tangawizi 1 tsp pilipili manga 1 kitunguu maji Majani ya giligilani Breadcrumbs (chengachenga za mkate) Mayai 2 Limao Chumvi Mafuta lita 1 Njia MEAT BALLS chukuwa nyama ya kusaga kisha changanya na 1/2 tsp ya kitunguu saumu, 1/2tsp pilipili manga 1/2tsp tangawizi, chumvi,limao na majani ya giligilani yaliyokatakata na changanya na nyama mpk ichanganyike vizuri na viungo vikolee vizuri na acha kama masaa mawili ili viungo viingie vizuri. Kisha chukuwa nyama yako na anza kufanya maduara ya mviringo kisha weka yaweke kwenye mayai yaliyopigwa na kuchanganya na chumvi kisha weka kwy chengachenga za mkate ikolee na weka kwy mafuta yaliyochemka kaanga mpk meatball ziive na kupata rangi ya kahawia pika kama daki 15 kisha epua na weka pembeni. TOMATO SAUCE Chukuwa sufuria weka mafuta kidogo kisha wenga vitunguu maji ulivyokatakata vipande vidogo kisha weka kitunguu saumu ,tangawizi,pilipili manga zilizobaki na chumvi acha kidogo kisha weka nyanya ambazo umezisaga na acha ichemke kisha weka meatballs zako kwy sauce na giligilani na acha kwa muda ili sauce ive kama dakika 5 na epua SPAGHETTI (TAMBI) Chemsha maji weka chumvi na mafuta mpk maji yachemke kisha weka spaghetti acha mpk spaghetti zako ziive na epua na chuja maji . Chukua sahani weka spaghetti zako kisha juu weka sauce yako ya meatballs na tayari kwa kuliwa
 
KUKU WA KFC ( KFC CHICKEN) Mahitaji Kuku mzima 1 Breadcrumbs (chengachenga za mkate) ya mikate mitano Mayai 3 Pilipili manga 1/2 tsp Tangawizi 1/2 tsp Kitunguu saumu 1/2 tsp Chicken masala 1/2 tsp Chumvi kiasi Limao 1 Mafuta lita 1 Njia 1. katakata kuku vipande upendavyo kisha muweke viungo vyote pilipili manga,tangawizi,kitunguu saumu,chicken masala,chumvi na limao na mchanganye vizuri mpk kuku akolee viungo vizuri na kisha muache masaa 2 ili kuku aingie viungo vizuri. 2. Kisha chukuwa mafuta acha mpk yachemke vizuri na muweke kuku wako mkaange mpk aive vizuri na usifanye akauke sana ni apate rangi ya kahawia kidogo na kisha mtoe kwy mafuta na muache apoe. 3. Kisha chukuwa mayai yako yapige changanya na chumvi na pilipili manga kidogo na chukuwa vipande vyako vya kuku anza kumweke kwenye mayai pande zote akolee kisha mtoe kwy mayai mweke kwy chenga chenga za mkate pande zote zishike chengachenga zako na baada ya hapo mrudishe kwy mafuta yako yanayochemka na mchome km dakika tatu ukimgeuza mpk apate rangi nzuri ya brow . 4. Mtoe kwy mafuta na tayari kwa kuliwa . *breadcrumbs unatengeneza kwa kuchukua vipande vya mkate acha kwenye hewa mpk vikauke au weka kwenye microwave dk 2 unamtoa na acha dakika 10 baada ya kutoa kwy microwave mkate unakuwa umekauka kisha twanga kwy kinu au km una food processor weka na saga mpk unapata unga ndiyo unautumia*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…