Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


NAKUITA


Njoo !!!
Nakuita.
Njoo twende.
Katika bustani yetu mpya
Tuliyoipanda katika vilima vya fikra zetu chokonozi

Nawaona nyuki wenye afya
Wakizunguka huku na huko kwa furaha
Huku wamebeba nta tamu mbichi nzito
Kutoka katika maua yetu yenye siri ya uzima
Tuliyoyapanda katika mioyo ya Edeni yetu changa

Nakuita; Ewe binti mwema mpole usiye na makuu
Hebu sogea hapa karibu nami.
Ili nikuonjeshe nta hii tamu nzito
Kisha tupumzike katika kumbato tamu la kweli
Huku tukisubiri asubuhi yetu njema
Itakayotuonyesha ramani sahihi ya maisha yetu.

KUTAPAMBAZUKA !!!

(C) SYB - JF​
 
.........
Aiseee!
 
Hahahahahaha!
Hivi mkuu leo tumejuliana hali kweli???
Maana tangu asubuhi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yaani nyie watoto sijui mna tatizo gani!! Tangu asubuhi ya Beef lasagna mikono kukumbatia papuchi, mara kisima kinacho toa maji, sijui mashine amekabidhiwa opareta, ukigeuka huku vidole vinatekenya vipele vya papai,injini tokotokooo...

Hivi hii nayo ni siku kama siku zingine?
 
Hahahahahahaha!!! Siku ya MITOKOTOKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…