ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Tatizo kubwa sanaNyinyi mnaotembea na wake za watu
Tatizo kubwa sanaNyinyi mnaotembea na wake za watu
Hao wanatakiwa Ku [emoji379] [emoji379] [emoji379] bila kuwacheleweshaEnyi wanaume mnaotaka haki ya mapenzi ya jinsia moja
Sema mkuuWAKUU WAKUU
La fomaEnyi wamwaga povu
Hao ni virus hatariEnyi mnaoweka post zenu na msigonge likes yoyote
Hawakusoma na kuelewa vizuri maudhui ya kuanzishwa kwakeNyinyi mnaogeuza uzi huu kuwa jukwaa la siasa
AminaEnyi mnaomuasi Mwenyezi Mungu kwa kuamini uchawi unaweza ili hali Mungu ana Nguvu kubwa kuliko ndumba zenu
Hatari kubwaEnyi mnaopenda kufanya ngono zembe..
NaaamKuhusu nyinyi wagonga likes
KweliEnyi wagonga likes wa Uzi huu, Sifa zenu zinasikika kila kona ya jf
NgrrrrriiiNyinyi ni watu jasiri sana