ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Haswaasiku imeshika kasi
Haswaasiku imeshika kasi
14:3112:25
Chipsi mayaimchana wa kula
Ukila kande jiandae kunywa maji kuendelea kushiba kadri muda unavyosongaNikila nyonyo (kande) wakati wa chai asubuhi huwa sili mchana labda nitaihisi njaa jioni.
NOMA SANA[emoji23] [emoji23]Poeni tu
With the amount of technology available you can learn something new everyday.
Hatujambo mkuuNdugu zangu hamjambo humu
Umenena kweliTuendelee na jukumu letu lililotukutanisha mahali hapa
Acha waendelee kuvuta tuWale wavuta sigara
SigaretteWale wa wanaokula majani toka milima ya Usambara
TumbakuWale wanaovuta mtemba aka Kiko
Safi sanaWale wanaobugia Ugoro hasa nyinyi vijana wa Arusha
Biashara kongweNyinyi mnaofanya biashara ya ngono. Changu, changudoa
Watu hatariNyinyi vibaka
Rushwa za elfu tanoEnyi mafisadi vidagaa
Wa USD 750,000 weka kwenye accountNyinyi Mafisadi Papa
WaambieEnyi mnaotumia vibaya ofisi za uma
NdogondogoEnyi wala Rushwa