ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kweli tupuNyinyi ingawa mna itikadi zenu za kisiasa lakini mmeziweka kando kwa maslahi ya uzi huu
Kweli tupuNyinyi ingawa mna itikadi zenu za kisiasa lakini mmeziweka kando kwa maslahi ya uzi huu
Umeona mbaliIngawa mnazipenda dini zenu lakini mnavumiliana kwa maslahi ya uzi
Duh
Huyo mwivi tuMimi nipo chenge team mwanasheria msomiiii
Wanajitahidi sanaIngawa huwa mnamwaga povu hukoooo....l[emoji3] [emoji3] [emoji3] lakini hapa mna upendo wa hali juu sana
Kweli hatuna mchezoHakika nyinyi si watu wa mchezo
Dod Al Fayed
TimeLunch
Toa ufafanuzi harakaWatu mna speed kama bao la kwanza
Yaani yaani yaaniWooooyooooooo!
![]()
UNENE...Tujitahidi kula vyakula vyenye mafuta mengi
PRESHATule vyenye chumvi nyingi