Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
Huyu Jamaa anataka kubadili maisha yetuHiyo avatar yako daaah!! Huyo jamaa huyo!!
panda mwendokasi utufikie haraka.Mnakimbilia wapi siwafikiii shaaaaa😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante mkuu. Nalitambua hilo. Na pengine ndiyo maana nimebarikiwa sana kwa kiwango changu. Pole tena na hongera angalau kwa kupata hiyo nafasi ya kuagana na mzazi kwa njia hiyo njema na amani. Ndiyo maisha!Mtunze sana. Akuambie kila kitu anacho kiona kinafaa kulea watoto wako, na yazingatie yote, ukiyaenzi utafanikiwa sana. Nina ushahidi kwa hilo, maana wangu aliomba tusali na tulipo maliza kusali tu akaniaga na kukata roho. Maneno yake ya mwisho yanaishi mpaka leo
...Then??? Malizia please [emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi tunacheza Kombolela. Nilikuwa napenda kujificha na Mdada
Ayabadili maisha yetu kivipi??Huyu Jamaa anataka kubadili maisha yetu
[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tungebuni mfumo wa oral likes...[emoji23][emoji23][emoji23]
Unalala mda huu bibie?? Na unaruhusiwa kabisa kulala??Muwe na usiku muruwaah kabisa wapendwa
Weka tu mifano ya kazi zako hapa. Hakuna atakayeondoka hapa kwenda Facebook. Isitoshe wengine hata account huko FB hatuna!
Tena leo nimechelewa etiiiUnalala mda huu bibie?? Na unaruhusiwa kabisa kulala??
Haya bibie kila heri...wenzio bado sana!!Tena leo nimechelewa etiii
Lala salama Jakitoo. Nilikuwa nategemea uniage personally hasa ukizingatia kuwa Kichwa Kichafu aliyekuwa anatamani paja lako keshakimbia. Anyway. Inshallah tuonane kesho!Muwe na usiku muruwaah kabisa wapendwa
Huko mnakoelekea siko. Nendeni kwenye jukwaa la siasa mkagongane huko. Wengine tuko huku ili kupunguza stress za huko jukwaa la siasa (mafisi vs. manyumbu)...na kwingineko. TOA LIKES KAMATA LIKES...it's as simple as that!!!Ayabadili maisha yetu kivipi?? Au kuwa waizi wa mali za uma kama kama kwenye hii...
[emoji13] [emoji13] .... pata like ya mwisho mwishoHaya bibie kila heri...wenzio bado sana!!
BTW pata like ya kulalia[emoji1]