Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

No no Shimba.... This is a river between two ridges.... Now you can translate easily I hope.
 
No no Shimba.... This is a river between two ridges.... Now you can translate easily I hope.
OK. Nilifikiri River Between ya Ngugi. Mto Katikati ya Vilima Viwili. Better yet kama nikisoma na kujua dhamira yake nini wakiwemo wahusika wakuu itasaidia. Kazi za watu hizi mkuu. Kwa Kiswahili Paul Sozigwa (RIP) na Gabriel Ruhumbika ni wazuri sana! Hata Nyerere alijitahidi kwenye Mabepari wa Venice (kama ni yeye kweli aliyefanya hiyo kazi!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…