Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hamna bro
Kuzindua kunatoa taarifa kwa wengine kuwa wasiguse
Mzinduaji na mzindukiwaji must responsible for their own deeds.

[emoji23]
Haya. Unafikiri angekuwa hajazinduliwa kuna mtu angesumbuka naye? Tangu azinduliwe kila anakokwenda ni kama selebriti fulani hivi. Hata mtaani ni hivyo hivyo. Ukiwa singo hakuna anayekujali. Anza kudeti mtu sasa hata mabinti waliokuwa hawakusalimii pale mtaani wanaanza kujilengesha....

Aliyenacho huongezewa bro....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha kitu,akiiiiii
Ubarikiwe kwa kunikumbusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ayaaa kizuri kula na mwenzio bana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…