Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
No wei auti aseeToo late bro. Umenitia katika wakati mgumu sana hasa ukizingatia kuwa ni jana tu nimekabidhiwa sime na marungu kwa ajili ya ulinzi. Na nikakwambia kabisa. Unataka mi nifanyeje sasa?