myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mwanzoni hata mimi nilifikiri mtu kamenya parachichi kwa mbwembwe. Kukiangalia vizuri kumbe kiatu [emoji16][emoji16][emoji16]Aiseee hicho sijakielewa brathee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maparachichi yana mafuta yasiyo na madhara
Jamaniii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Konokono aliyeishiwa na utelezi hupata maumivu makali sana kurudi gambani mwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeona kama nyoka gathoooMwanzoni hata mimi nilifikiri mtu kamenya parachichi kwa mbwembwe. Kukiangalia vizuri kumbe kiatu [emoji16][emoji16][emoji16]
Inategemea na imani mliojengeana maa kama hamuaminiani lazima mtaombana nywila tu.[emoji23][emoji23][emoji23], eti jamani, ni hiyo ni sawa kweli