Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mi nilishangaa. Nilikwenda hiyo ya kwenu hapo Mwanza. Nikapitiliza moja kwa moja mhudumu akaniangalia baadaye akanifuata na kuniambia kuwa ilibidi nilipie buku moja au nilipe ada ya mwaka ya elfu 20 sijui halafu niwe na kitambulisho. Nikajiuliza sana kuwa iweje kwenye taifa ambalo tunalalamikiana kuwa watu wetu hawasomi vitabu kuwe na ada na masharti kibao maktabani. Niliongea na yule mhudumu kwa kina na akasema sheria hiyo ilipitishwa miaka 10 iliyopita na akaniruhusu nijisomee bure kwa siku hiyo.
 
Ilikuwa tarehe kama ya leo...Meli yetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 782506
Muda umeenda ila tukio halisahauliki.
Nakumbuka niliimuumiza sana mamaangu mkubwa (r.i.p) maana wenzangu wa masomo ya arts walimaliza mapema na kurudi nyumbani, mamaangu akajua nimeenda Bukoba kwa mshua.
Tarehe 25 nilisafirishwa utadhani mtuhumiwa. Rip ACP Mwabwala [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mungu azirehemu roho za marehemu wote [emoji120] [emoji120]
 
Tena hio elfu 20 sio unalipa na kuruhusiwa yaan hapo labda uwe na ngozi nyeupe(mzungu)hivi hivi utatakiwa kupeleka barua ya baloz sijui mwenyekiti wa mtaa,mhuri wa mtendaji wa kata. Nilienda mbili hapa koromije na mkoa mwingine pote hivyo hivyo na wanavyokuangalia sasa hamu yote ya kujisomea inaisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], poleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…