Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo maana waliponizoea wala hawakuwa na ishu na mimi. Classmates mmoja kigogo siku hizi nilikuwa namuuliza kama amefunga nizuke tena basi tumecheka sana. Maisha haya bro we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingekuwa safi sana Bro, pia unakaribshwa,, haukuwa unafanya dhambi bro ni jambo jema kushiriki maana sote ni ndugu
Kusave pesa ni ishu sana,, hadi uridhie toka moyoni kuwa now unasave pesa kwa ajiri ya malengo flani,
Haya maisha tunatoka mbali sana, na hzo moment km hzo ndo hubaki kumbukumbu tosha hata km mkipotezana then mkikutana mkakumbushia ishu hzo basi mnaishia kucheka tu,,, [emoji16][emoji16][emoji16]Ndiyo maana waliponizoea wala hawakuwa na ishu na mimi. Classmates mmoja kigogo siku hizi nilikuwa namuuliza kama amefunga nizuke tena basi tumecheka sana. Maisha haya bro we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Duhserious bro?kwan After Sex then akislip anamaanisha nn hasa
Kuasiliwa
Kama watu wengine wanavyokwenda katika vituo vya ustawi wa jamii kuasili watoto, hapa Ujerumani mbwa na paka huasiliwa.
Inakadiriwa kuwa wanyama 300,000 wengi wakiwa ni mbwa na paka wako katika makazi maalumu na wanatakiwa kuasiliwa.
Kama unataka kuasili mbwa unatakiwa kwenda katika kituo maalumu kiitwacho Tierheim, yaani makazi ya wanyama. Huko utajaza fomu maalumu na utachunguzwa kama kweli unaweza kutunza mbwa.
ChiefDuh
Chief swali lako kina Pyaar wanaweza kukujibu vzr, kulala after sex humaanisha nin kwa mwanamke?
kwema kabisa.Salama mkuu omarion za kwako?
Wakenya hawana mishipa ya aibu, wanakupa live na machoni wanakuwa wakavu kama hajasema ktu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]*dem flani ameingia kwa duka hapa ya jewellery.* *Akanyamba akiinama kuangalia earings, kugeuka akaona muuzaji Hana shughuli akadhani hakuskia mnyambo.*
Akamuuliza "hii ring ni how much??
Huyo msee juu hana chills akamjibu. Kama umenyamba juu ya kuona tu, ukiskia bei si utahara madam??[emoji23][emoji23]`
*"""*********
Yaani kaingizwa mjini peku pekuMjini shule...
View attachment 783985