Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni madongo tu hakuna la maana. Wanaume tunapigwa madongo tuache kulelewa na wanawake
Labda tumuite Mama Sabrina, Aje atutetee maanake majike wametukazia mno, Si alfajiri wala alasiri muda wote ni kupondwa & kupewa makavu tu, Hivi inamaana hakuna zuri lolote wamewahi kulipata kutoka kwa madume?
Tutakunywa hata shubiri maana ni dawa, Lakini zingine ni ngumu kumeza!
 
Siibiwagi kizembe....Asante
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Omarion bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…