Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Aaaaaaaaah,
Hao wakina Zitto waache wadiscuss Siasa zao huko huko Bwana...
Huku tunataka kupumzika na kupeana Likes tu.....
 
Ndiye Waziri wa kwanza Tanzania ambaye alitengeneza Bajeti ya Fedha Superb..
Baada yake hakuna tena Waziri aliyewahi kufanikiwa kufanya hivyo,......He was very talented but sad, Smart people do not Survive very in Tanzania...
Hakika mh Stephen Kibona, mbunge wa Ileje na Waziri wa fedha Serikali ya awamu ya nne nilimkubali sana. RIP mh Waziri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee
 
Alikuwa na vyeo kama vitano hivi......
Alilalamikiwa sana kwa kuligeuza Shirika la BIMA kuwa la Wanyakyusa.
Chuo cha Benki Iringa kilikuwa na Jina lake Amon Nsekela....
Hata hivyo Amon Nsekela alikuwa mchapakazi hodari, lakini aliyetuhumiwa kuligeuza shirika la Bima kuwa mali ya wanyakyusa ni Gibbons Mwaikambo.
 
Yuko wapi sasa mwanasiasa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…