Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kijana makini na anayetaka kusonga mbele haruhusu kuangalia nyuma na kuwa na kumbukumbu mbaya maishani. Hivyo husimama na kujipanga upya na kusonga mbele kuyafikia malengo yake.

Kama ambavyo nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere inavyosema, “Ni bora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizokufa.”

Vivyo hivyo kufikiria kushindwa kwa mambo yaliyopita ni kuzipa nafasi fikra zilizokufa.
 
Moyo wako unataka nini?

Ni vigumu kumridhisha kila mtu na inaweza ikakukwamisha kwa sababu kuna watakaokupa maoni kwa nia njema na kuna watakaokupa ilimradi waonekane wamezungumza.

Hivyo kumsikiliza kila mtu kunaweza kukupoteza. Muhimu ni kujiamini na kusikiliza moyo wako unataka ufanye nini na unatarajia mafanikio gani.

Inawezekana wakati fulani ukahitaji maoni ya wengine, lakini unahitaji kuwa makini sana ili yasikutoe kwenye mstari. Chukua yale tu unayoamini yatakusaidia.
 
Mwandishi na mshauri maarufu wa masuala ya mafanikio katika karne ya 15 ambaye maandiko yake yapo hadi sasa, Lao Tzu aliwahi kusema, “Kuwajua wengine ni hekima, kujijua mwenyewe ni maarifa makubwa.”

Tumia maarifa uliyonayo kwanza kabla hujatafuta ya wengine, yanaweza yasikusaidie sana kwa sababu huwezi kufahamu ndani ya moyo wao wanadhamiria nini na yanalingana vipi na unachotaka kufanya.

Ukiwataja watu waliofanikiwa mmojawapo ni mwanzilishi wa kampuni ya Apple, Steve Jobs lakini naye pia aliwahi kunukuliwa akisema, “Siku zote muda huwa hautoshi hivyo haina haja kuangalia mambo ya wengine angalia ya kwako”.
 
Ondokana na kulalamika

Siku zote epuka kukaa na wanaopinga ukweli wa kila jambo na msimamo wao siku zote ni kulalamika hata mahali pasipohitaji kunung’unika.

Siku zote jiweke karibu na watu wenye mawazo hasi ambao huangalia mbali badala ya kulaumu kwa kila jambo.

Siyo vibaya ukisoma, kusikiliza maneno ya watu waliofanikiwa.Zingatia ambao tayari wamefanikiwa siyo wanaotaka kufanikiwa watakuchelewesha
 
[emoji818][emoji818]
 
Daah! Jamaa nimemuelewa kamuua yule mzee sijui ni baba yake au vipi? Then hakuna anayejali kuhusu hilo watu wanakimbia huku na huko huku wakiuana sijui chanzo ni yeye?

Ila jamaa anajua saana comedy aisee. Pia uwezo wake wa akili ni balaa tupu. Uwezo pia wa kucheza hakuna ubishi ni noma.

Issue ya ubaguzi wa rangi nyeusi naona pia imetiwa ndani ya wimbo, kiufupi jamaa kaidadavua vyema America.

Genius
 
Yule jamaa aliyeuliwa pale mwanzo, kafanana sana na Baba yake na Treyvon Martin yule mtoto aliyeuwawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…