Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

na mafundi wa kiTanzania walikua wahuni sana, kidogo ss hivi naona wamekuwa maProfessional ukiwaelekeza wanafanya kama unavyotaka.
 
Zamani mafundi walikua waLocal sana, ss hivi maEngineer kabisa unamkabidhi kazi anachora na kuijenga vizuri kabisa.
 
Ni wazi kuwa ujenzi wa nyumba ni shunguli pevu inayohitaji kutulia, moyo na maandalizi stahiki. Hakuna kitu kinachoshinda nia na mipango mizuri. Naamini kwa kuyaepuka makosa tajwa hapo juu utaweza kujenga nyumba bora, salama na ya kisasa kabisa.
[emoji122][emoji122][emoji122]

Kweli kabisa...asante sana Numbisa.
 
*mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na taifa lisilokuwa na chama cha upinzani ......na mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na kikundi cha waasi kinachoendesha vita ya wenyewe kwa wenyewe. Sitaki mapovu hapa*
[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Maziwa hufanya mambo mengi mazuri kwa ajili ya afya yako. Wataalamu wa afya na wauzaji wa maziwa wamekuwa wakieleza faida kadha wa kadha za kunywa maziwa. Je umewahi kujiuliza hasa ni faida gani hizo zitokanazo na unywaji wa maziwa?
 
Hujenga na kulainisha ngozi

Je unamfahamu Cleopatra? Cleopatra alikuwa ni malikia wa Misri anaesadikiwa kuwa mzuri sana. Inaaminikia uzuri wa Cleopatra ulitokana na tabia yake ya kuogea maziwa mara kwa mara.

Hivyo basi, ni wazi kuwa, vitamini na virutubisho vilivyoko katika maziwa ni muhimu kwa ajili ya ngozi bora. Ni vyema kunywa angalau bilauri moja ya maziwa kila siku.
 
Huimarisha meno

Maziwa ni chanzo bora cha madini ya kalisiamu, hivyo basi maziwa ndicho kitu halisi kinachohitajiwa na meno yetu. Pia maziwa huzuia kutoboka na kuoza kwa meno. Kalisiamu hufyonzwa na miili yetu kukiwa na vitamini D; hivyo jitahidi kunywa maziwa kwani maziwa huwa na vitamini D.
 
Huimarisha mifupa

Ni ukweli usiopingika kuwa watoto wanahitaji kunywa maziwa ili kuimarisha ukuaji wao. Ni kweli pia watu wazima wanahitaji kunywa maziwa ili kulinda na kuimarisha mifupa yao dhidi ya magonjwa kama vile udhaifu wa mifupa (osteoporosis). Maradhi haya huzuiliwa kwa kalisiamu ipatikanayo kwenye maziwa na ambayo hufyonzwa kutokana na uwepo wa vitamini D.
 
Kujenga misuli

Maziwa yana mchango mkubwa katika ukuaji wa misuli. Hili ni kutokana na protini zinazopatikana katika maziwa. Wanariadha wengi hunywa maziwa baada ya mazoezi, hii ni kwa ajili ya kuupa mwili virutubisho vya kutosha kwa ajili ya kujijenga tena. Maziwa huzuia maumivu ya misuli pamoja na kurudisha ute ulipotea kwenye misuli wakati wa kazi mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…