Kwenye lugha kweli yuko vzr,, halafu pia anajua sehemu nying sana, anaweza kukutajia kijiji hcho tena koo ndan ndan,, sasa sjui huwa anakuwa na Atlas hapo anasoma au anafahamu kwel[emoji23][emoji23]Nafikiri hivyo sema tu anajua lugha za Kibantu kibao. Wa kishua hata lugha ya wazazi tu hawajuagi [emoji16][emoji16][emoji16]
Bado hali si shwari mpenzi.... [emoji23]
[emoji15]Jamaniii [emoji17]pole dia nakuombea kwa Mungu uponee [emoji120][emoji9]
Watu mko 20 mnapeana shikamoo. Real?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bratheee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Rudi tena
[emoji57][emoji57][emoji57]
Inabamba mbaya [emoji126]Ebwanaa eeeh!
Hii kitu inaduna kwenye spika kubwaaa.
Nawakubali sana hawa
Hahahahaha, kuna kijana kapendekeza nije nikukatieNikate mapezi? Oven si itayakausha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good msgUkipoteza kujiamini utaachana na kila ulichokianza, kwa sababu badala ya kujiuliza unapokosea na kutafuta suluhisho la ulichokosea, utasema siwezi na hatimaye utaacha.
Yapo mambo mengi yanayoashiria mtatuzi wa mkwamo wako ni wewe mwenyewe, tafakari. Chukua hatua sahihi kwa wakati muafaka.
Ndio mkuu nimeusikiliza upo vizuri kinyama [emoji23][emoji91]Umeisikiliza eeeh ???
Hatarious tupuuuuuuu!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Jamaniii [emoji17]pole dia nakuombea kwa Mungu uponee [emoji120][emoji9]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeHahahahaha, kuna kijana kapendekeza nije nikukatie
Kikoromije yumo.Kwenye lugha kweli yuko vzr,, halafu pia anajua sehemu nying sana, anaweza kukutajia kijiji hcho tena koo ndan ndan,, sasa sjui huwa anakuwa na Atlas hapo anasoma au anafahamu kwel[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,nakukubari shiro,, unajua kuitendea haki emoj ya [emoji91]Ndio mkuu nimeusikiliza upo vizuri kinyama [emoji23][emoji91]
Nani huyo? Leo sabato sitaki majaribu miye[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha, kuna kijana kapendekeza nije nikukatie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi nansio huko anapafahamu,, kuna siku kanitajia kijiji kimoja hv,, dah nlichoka aiseeKikoromije yumo.
Kimwakaleli yumo
Kiyego yumo
Kiwongela mmawaksi yumo
Kiodinga yumo
Kigabacholi yumo...
Vichochoro vya ndani ndani Kahama, Tabora, Mwanza, Mwakaleli, Ntuzu...anavijua. Halafu andaeitini. Bagosha [emoji16][emoji16][emoji16]