Kwa haraka haraka nimeona kama comedy hiviUmeielewa?
Kweli kabisa. Matatizo ni mengi sana hapa chini ya jua na kwa ukubwa hatujui kama ni aggresive kuliko kiasi tunavyoyachukulia.Kila tatizo lina pacha wake. Unaweza jiona upo alone kwenye mateso kumbe wengi tunateseka sema tu hatuna ujasiri wa kuongelea suala hilo hadharani
Hahaha sio comedy ni picha zenye ujumbe ndani yake itizame tena kwa umakini utaelewa.Kwa haraka haraka nimeona kama comedy hivi