Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Thread yake jamaa ilikuwa kali sana. Halafu akapigwa chini dah. Ningekuwa mi ningepumzika JF kwa muda
 
Sizindui tena jamani
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vijana wengi waliumia sana sku ile
Maana alo kuwa ana zinduliwa alikuwa ni new toka kwenye makaratasi.

Yaan ile ilikuwa ni kama Nigeria kushinda kombe la dunia[emoji23]
 
Duniani yapo mengi ambayo yanavuta hisia ukiyasikia. Wengi wetu huamini kuwa umeme umekuwa ukizalishwa kutoka katika vyanzo mbalimbali kama mashine, betri, jua na maji.
Lakini amini au usiamini kuna viumbe ambao wanazalisha umeme mwingi wenye nguvu hata ya kuweza kumuua binadam mtu mzima ndani ya sekunde.
 
Moja ya viumbe wenye uwezo wa kuzalisha umeme ni samaki aina ya electric eel au electricus fish ambae ana umbo refu mfano wa bomba huwa akikuwa anaweza akafikia urefu wa mita 2 ( futi 6-7) na uzito wa kilo 20 kitu kinachomfanya kuwa samaki mkubwa katika kundi la Gymnotiformes. Samaki huyu ana rangi ya kahawia iliyokolea kwa upande wa nyuma(mgongoni) na rangi ya manjano au machungwa mbavuni na tumboni. Ana mdomo wenye pembe ambapo pembe hiyo hujitokeza mwishoni mwa pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…