Habari yako shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro Davet ndiye Baba D? Unakumbuka lakini enzi zetu na akina Husna na Shedede kule Makapuku? Couples zingine huko nimeanza kuzisahau. JF hii ina raha zake [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vijana wengi waliumia sana sku ile
Maana alo kuwa ana zinduliwa alikuwa ni new toka kwenye makaratasi.
Yaan ile ilikuwa ni kama Nigeria kushinda kombe la dunia[emoji23]
WAKUU WAKUU
Safi moud za weweHabari yako shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama bro Davet mi nilikuwa sijawahi kumsikia. Enzi zile kule kwingine kulikuwa na jamaa anajiita Baba D. Nilidhani ndiye alikuwa mmiliki tena wa halali kabisa. Halafu wachovu wakawa kila siku wanaanzisha thread kibao halafu vu bin vu from nowhere Davet akazinduliwa. Just like that kijana wetu akawa selebriti. Apone haraka kwa kweli...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Thread yake jamaa ilikuwa kali sana. Halafu akapigwa chini dah. Ningekuwa mi ningepumzika JF kwa muda
Ee mbona unapolalamika usingizi au njaa huwa tunagundua[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi nikipost hapa naumwa mtagundua kweli!!
[emoji124]
KWEMA SIFA NA SHUKRANI NI KWA MWENYEENZI MUNGUkaribu mkuu.. kwema