Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha,
Weee jamaa bwana,
USA na Israeli na mpira wapi na wapi ???
Hata mirusi yenyewe imebahatisha tu leo,
Hii mijamaa kombe lao la dunia ni Pulonium, Novichok na kalashnikov....Mpira wawaachie Brazil.
He he he he
Mkuu mpira unabadilika mkuu, ipo siku utaona fainali kati ya mchina na India.
teh teh teh

We ulitegemea msaudia kuwemo??
 
He he he he
Mkuu mpira unabadilika mkuu, ipo siku utaona fainali kati ya mchina na India.
teh teh teh

We ulitegemea msaudia kuwemo??

Aaaaah, choli kapeto tena???
Bwahahaha, walivyo na Population kubwa itafika siku watauza hadi viwanja vya mpira viwe makazi ya kuishi.
Kifupi wale wana stress sana na maisha kama sisi tu, mpira wawaachie wengine.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…