[emoji8] [emoji8]miss you more inna!!
Hahaha umekuwa na jumapili njema sanaHata ugiriki mwaka 2007 walivyomtungua Ureno walikuwa wachovu tu......
Wakashinda na Euro Cup...ππππ
Leo nimefurahishwa na habari mbili kubwa.
Mosi, Komredi Mwigulu A.K.A Savimbi kujiunga na wakina NAPE
Pili, timu ya watengeneza magobole kuwafunga manguli wa mpira..
teh teh teh teh teh teh
Ndiokumbeee
Mfalme wa Spain leo si alikuwepo pale ???Mkuu mpira unamatokeo ya kikatili sana we acha kabisa
Blaki womani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] View attachment 800287
Ila la Bwana Savimbi limenibariki sana roho yangu.Hahaha umekuwa na jumapili njema sana
Kuna WC moja nafikiri 1998 Franceteh teh teh teh teh
Habari ya kwanza ni njema sana.
Habari ya pili si njema kwangu.
Ingekuwa njema kama USA au ISRAEL wangekuwemo World cup halafu wakutane uso kwa uso na Russia.
Hio mechi ingekuwa tamu sana aiseeee
Im good,,Nicholas Cage, what up ???
Ongeza juhudiBado tuko kazini.
Tunaendelea kupambana.
Nafikiri mwezi huu mpya tukitia juhudi kufikia mwezi ujao atakuwa keshaingia anapostahili.
Hahaha mnanikumbusha ukimbizinikwema seniour villager
Salamu zimefika mkuuAsee nilipita kuwsalimu.
Ngoja niendelee na majukumu mengine.
Stay Blessed sana.
Mkiwaona wafuatao muwaambie nawasalimu sana
myoyambendi
BAK
hearly
SHIMBA YA BUYENZE
Beef Lasagna
ho chi minh
goldie ink
[emoji26] [emoji124] [emoji125][emoji8] [emoji8]
Aiseee, nimepitwa sanaaa!Im good,,
Hahaha eeh bhna, Cage amekuja na kitu kipya tena, sema sijabahatika kuktzama
View attachment 800296
Ndio tabu yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]wanawaza nguvu za kiume tu[emoji23]
babe[emoji26] [emoji124] [emoji125]
Aisee hii sijui kama itatokeaHe he he he
Mkuu mpira unabadilika mkuu, ipo siku utaona fainali kati ya mchina na India.
teh teh teh
We ulitegemea msaudia kuwemo??
Naona ni mwana mfalme yule wa SpainMfalme wa Spain leo si alikuwepo pale ???
πππππ
HahahahahaI'm good Ledada, eti nafungua JF nisome baadhi ya vitu nakuta Mention.......
Nikawa kama nahisi nina mawenge hivi kumbe kweli...