Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha wamebaki wawili wacha tusubiri
 
Hahahahaha,
Weee jamaa bwana,
USA na Israeli na mpira wapi na wapi ???
Hata mirusi yenyewe imebahatisha tu leo,
Hii mijamaa kombe lao la dunia ni Pulonium, Novichok na kalashnikov....Mpira wawaachie Brazil.
Yaani Marekani soka ni zero kabisa. Hata huwezi jua kuna kombe la dunia. Wanasubiri mwezi wa tisa waanze ile football yao ambayo kimsingi ni Rugby (ya kuvaa kinga)
 
Yaani Marekani soka ni zero kabisa. Hata huwezi jua kuna kombe la dunia. Wanasubiri mwezi wa tisa waanze ile football yao ambayo kimsingi ni Rugby (ya kuvaa kinga)
Hahahaha, wazee wa NFL na NBA waache tu.
Wale wanaweza hata wasijue hata soccer linakuwa na wachezaji wangapi...
NB: Mkuu its good to see you again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…