Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani Marekani soka ni zero kabisa. Hata huwezi jua kuna kombe la dunia. Wanasubiri mwezi wa tisa waanze ile football yao ambayo kimsingi ni Rugby (ya kuvaa kinga)
USA ndio wenyeji wa fainali zijazo za World Cup,,, baada ya zile za UAE,,, USA, CANADA pamoja na wahuni wa SinaLoa MEXICO,,, wataandaa kwa pamoja
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
Heshima yako mkuu...tuko pamoja
 
Huyu alikuwa ndiyo Bashite wa Jakaya,...
Ndani ya miaka 2 atasahaulika kabisaaaa!
Aende huko kwingine akagombee uraisi 2020 kama watamkubalia japo ana mzigo. Mambo mengi yasiyopendeza yametokea chini ya uangalizi wake pale wizarani. Au ajiunge na akina Nape, Bashe na group lao wawashe moto wa kimapinduzi chamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…