[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe umeona nini?
Yaani hiyo style ni tamu kinyama. Kumbe miti inafaidi aiseee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona mkono umemshika mwenzie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nivyoona tu notification nikajua tu umeniquote hapa.Yaani hiyo style ni tamu kinyama. Kumbe miti inafaidi aiseee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Sijui ni nyumbani Moshi...Oohooo jezi mpya
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Sijui ni nyumbani Moshi...
Usiku wa kulaliana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wameingiwa na hofu ya kudabuliwa, jirani nae amekuwa muoga? Ngoja na mimi nitengeneze ngao ya chuma.[emoji23][emoji23][emoji23] uncleee usiku wa pipiiiiiii
[emoji3] [emoji3] Nigeria ni sikio la kufaNahodha wa Nigeria ‘Super Eagles’, John Mikel Obi, ameitaka serikali kuimarisha ulinzi ili kupunguza matukio ya mauaji na utekaji nyara kwa ajili ya kudai fedha.
Kiungo huyo wa zamani wa Chelsea ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Tianjin Teda ya ya Ligi kuu ya China, aliyasema hayo siku chache baada ya kulipa kikomboleo kwa ajili ya baba yake mzazi aliyetekwa nyara.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji91]Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jukwaa la siasa, wanawalaumu wale makapi ya fisi waliohamia kwa nyumbu ambao walialikwa na kuhudhuria mkutano huo wa vigogoWapi huko? Kwenye jukwaa la mapovu ama?
Acha wamwage povu ila hawa ni wanasiasa na wanajuana vyema. Tena ni tabaka moja.
Wewe ndo ulilitaji hilo neno, una wajibu wa kufafanuaMuulize Numbisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Akwambie tu kwakweliWewe ndo ulilitaji hilo neno, una wajibu wa kufafanua
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app